Anthems 3
Mungu Ibariki Afrika
1Mungu ibariki Afrika,
Wabariki viongozi wake.
Hekima umoji na Amani,
Hizi ni ngao zetu,
Afrika na watu wake.
Ibariki Afrika,
Ibariki Afrika,
Tubariki watoto wa Afrika.
2Mungu ibariki Tanzania,
Dumisha uhuru na U~moja,
Wake kwa Waume na Watoto,
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
Ibariki Tanzania,
Ibariki Tanzania,
Tubariki watoto wa Tanzania.