Nyimbo za Kristo 103
Njoni Kwangu
1Yesu huita kwa upole mwingi, atwita wewe nami;
Moyoni mwetu hungoja, hukesha,
Hukungojea wewe.
RefrainNjoni kwangu,
Mliochoka, njoni:
Yesu huita kwa upole mwingi,
Akwita, uje kwangu.
2Atuombeapo usikawie,
Hutuombea sisi;
Usidharau wema ma huruma,
Huruma kwetu sisi.
3Siku za maisha hupota hima,
Hupita kwako, kwangu;
Usiku waja, kifo kinakuja,
Huja kwako na kwangu.
4Fikiri juu ya upendo wake,
Upendo kwako, kwangu;
Dhambi zetu amekwisha samehe.
Masamaha ni yetu.