Nyimbo za Kristo 119
Alilipa Bei
Words: [unclear]Music: John T. GrapeTune: [unclear][unclear]
1Yesu anasema,
Wewe huna nguvu,
Kesha ukaombe,
Na uje, Mwanangu.
RefrainAlilipa bei,
Nawiwa naye;
Dhambi ilitia waa,
Aliiondoa.
2Bwana, nimeona,
Uwezo wako tu,
Waweza takasa
Mioyo michafu.
3Sina kitu chema,
kudai neema,
Hivi nitafua,
Mavazi kwa damu.
4Ninaposimama,
Juu ya mawingu,
Taji nitaweka,
Miguuni pa Yesu.
- Words
- [unclear]
- Music
- John T. Grape
- Tune
- [unclear]
- Meter
- [unclear]