Nyimbo za Kristo 13
Yesu Uje Kwetu
Tune: Church Hymnal 602
1Umetuahidi kwamba wawili watatu,
Kwa jina lako wakija,
Utabariki;
Kwa hivi leo twapiga magoti nyumbani pako.
RefrainYesu uje kwetu
Utubariki;
Yesu uje kwetu
Uwe karibu.
2Umekuwa nasi siku nyingine,
Tunakuhitaji mpaka mwisho.
Uje Mwokozi, tupe neema;
‘Tusikie Yesu, utubariki.
3Uje utawale sauti zetu:
Nyimbo, nazo sala uziagize;
Imani izidi, ikamilike;
Pendo liwe safi, na njia nuru.