Skip to content

Nyimbo za Kristo 202

Sikia Mlio

Studio

1Sikia mlio!
Pesa koponi Zinalialia, zote kwa Yesu.

RefrainKuanguka kuanguka pesa koponi,
Kila moja kwako,
Yesu zipokee.

2Huanguka pesa toka mikono:
Sadaka kwa Yesu ya kundi dogo.

3Tulio wadogo tuna haba tu;
Tuishapo kua pendo tazidi.

4Wenye mali chache tumpe moyo;
Kwa furaha tupu atakubali.