Nyimbo za Kristo 41
Roho Mtakatifu
1Roho Mtakatifu,
Kiongozi amini;
Utushike mkono Tulio wasafiri;
Utupe kusikia Sauti ya upole;
RefrainMsafiri, fuata,
Naongoza nyumbani.
2Wewe ndiwe rafiki,
Msaada karibu;
Tusiache shakani;
Tukiwa gi zani Utupe kusikia Sauti ya upole;
3Siku zetu za kazi,
Zikiwa zimekwisha,
Wala hatuna tama Ila mbingu na sala:
Utupe kusikia Sauti ya upole;