Nyimbo za Kristo 83
Ewe Skuli ya Sabato
Tune: Christ in Song 608
1Ewe skuli ya Sabato,
U pazuri sana;
Moyo wangu wanivuta,
Nije kwako leo.
RefrainSabato ni nzuri Sabato ni nzuri
Moyo wangu wanivuta,
Nije kwako leo.
2Moyo wangu mpotovu,
Hapa una raha;
Ndipo nimwonapo Yesu,
Nije kwako leo.
3Hapa Yesu mwenye pendo‿Aniita pole:
Nimtolee moyo Yeye,
Nije kwako leo.