Nyimbo za Kristo 1
Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu
1U Mtakatifu!
Mungu mwenyezi!
Alfajiri sifa zako tutaimba;
U Mtakatifu,
Bwana wa huruma,
Mungu wa vyote hata milele.
2U Mtakatifu!
Na malaika Wengi sana wanakuabudu wote;
Elfu na maelfu wanakusujudu Wa zamani na hata milele.
3U Mtakatifu!
Ingawa giza Lakuficha fahari tusiione,
U Mtakatifu!
Wewe peke yako,
Kamili kwa uwezo na pendo.