Nyimbo za Kristo 100
Kuwatafuta Wasioweza
Seeking the Lost
Tune: Christ in Song 532
1Kuwatafuta wasioweza,
Kuomba wamrejee Yesu,
Kuwaambia maneno yake,
"Njooni kwangu, nawapenda".
RefrainNitakwenda Niwatafute Wapotevu wageuke
Waingie Katika zizi
La Mwokozi Yesu Kristo
2Kuwatafuta wasioweza,
Waonyeshwe Mwokozi wetu;
Kuwaongoza, wapate wote
Uzima ule wa milele.
3Kazi hiyo nataka kufanya,
Leo nimesikia mwito;
Kuwainua waangukao, waletwe kwake yesu
Njia.