Skip to content

Nyimbo za Kristo 99

Twende Kwa Yesu

Tune: S.S. 1155

1Twende kwa Yesu mimi nawe, njia atuonya tuijue,
Imo Chuoni; na mwenyewe, hapa asema njoo!

RefrainNa furaha tutaiona, myoyo ikitakata sana;
Kwako, Mwokozi, kuonana, na milele kukaa.

2“Wana na waje,” atwambia furahini kwa kusikia;
Ndiye Mwokozi wetu hasa, na tumtii, njoni.

3Wangojeani? Leo yupo: sikiza sana asemapo;
Huruma zake zitwitapo, ewe kijana, njoo.