Nyimbo za Kristo 102
Mlangoni Pa Moyo
There's a Stranger at the Door
Tune: Church Hymnal 566
1Mlangoni pa moyo;
Mgeni‿Amesimama pale,
Mgeni!
Umkaribishe sasa,
Umkaribishe Mwana Wa Baba wa‿upendo:
Mgeni!
2Moyo wako kwa Bwana,
Fungua.
Asikuache mbali,
Fungua.
Umkubali Rafiki,
Roho‿atafariji Naye atakutunza:
Fungua.
3Usikie sauti Ya
Bwana‿Uyachague mambo Ya Bwana.
Ufungue mlango,
Usimwambie bado:
Jina lake tumai -
Yu Bwana.
4Na‿ufungue moyo,
Kwa Bwana Utapewa msaada,
Wa Bwana Uzuri utavikwa
Dhambi ataondoa,
Ukifungua moyo.
Kwa Bwana