Skip to content

Nyimbo za Kristo 104

Yesu Aliniita, Njoo

Studio

1Yesu aliniita,
Njoo,
Raha iko kwangu,
Kichwa chako ukilaze kituani mwangu.
Nilikwenda kwake mara,
Sana nilichoka;
Nikapata kwake raha na fu ra ha.

2Yesu aliniita,
Njoo,
Kwangu kuna maki:
Maji ya Uzima, bure, unywe uwe hai.
Nilikwenda kwake mara na maji nikanywa:
Naishi kwake na kiu kamwe sina tena.

3Yesu aliniita,
Njoo,
Dunia i giza,
Ukinitazama, nuru takungarizia.
Nilikwenda kwake mara,
Yeye jua langu,
Ni kila wakati mwanga safarini mwangu.