Skip to content

Nyimbo za Kristo 110

Mlango Wazi

The Open Door

Tune: Church Hymnal 561

1Mlango uko wa wema,
Mlango wazi huo:
Yesu ameufungua Na hakuna kufunga

RefrainMlango wazi, ajabu,
Uliachwa wazi kwangu?
Kwangu,
Kwangu?
Wazi, wazi kwangu?

2Mlango hukaa wazi
Watu waokolewe:
Maskini na matajiri
Wa mataifa yote.

3Maadam mlango wazi,
Rafiki kaza mwendo;
Msalaba‿ukubali - Amana ya upendo.

4Msalaba tutabeba Daima, na furaha!
'Pendo wa Yesu hushinda.
Tunainama kwake!