Skip to content

Nyimbo za Kristo 111

Tabibu Mkuu

Studio

1Tabibu mkuu huyu,
Yesu mwenye huruma Atuletaye faraja:
Yesu,
Mwokozi wetu.

RefrainImbeni,
Malaika,
Sifa za Bwana wetu:
Jina la pekee kwetu, ni la Yesu Bwana.

2Hakuna jina jingine,
Linalofaa sifa;
Au kutufurahisha,
Isipokuwa lake.

3Naye atakapokuja,
Na utukufu wake;
Tutafurahi milele,
Kukaa kwake Bwana.