Skip to content

Nyimbo za Kristo 116

Moyo Safi

Tune: Church Hymnal 634

1Bwana ninataka hili, kwa kuwa nimechafuka,
Kwa moto au kwa maji unisafishe kabisa.

RefrainUnisafishe Mwokozi ndani, na nje, kwa moto
Utakavyo: ili dhambi ife kwangu, ife kwangu.

2Kupewa hekima yote, itakuwa tunu kubwa;
Lakini moyo safi ni, bora kwangu, bora kwangu!

3Mpaka moyo ni safi siwezi kuyafahamu
Mambo mazuri ya mbingu, mambo mazuri ya mbingu.