Skip to content

Nyimbo za Kristo 115

Naendea Msalaba

Studio

1Naendea msalaba,
Ni mnyonge, mpofu,
Yapitayo naacha nipe msalaba tu.

RefrainNakutumaini tu, ewe Mwana wa Mungu;
Nainamia kwako; niponye sasa,
Bwana.

2Nakulilia sana: nalemewa na dhambi;
Pole Yesu asema:
Nitazifuta zote.

3Natoa vyote kwako, nafasi nazo nguvu,
Roho yangu na mwili viwe vyako milele.

4Kwa damu yake sasa amenivuta sana,
Upendo hubidisha, nimtafute Mwokozi.