Nyimbo za Kristo 121
Katika Wenye Dhambi
1Katika wenye dhambi,
Ndimi mkuu wao;
Ila Yesu ukaja,
Kwa dhambi alikufa,
Akamimina damu,
Niupate uzima.
2Ajabu!
Pendo lake!
Pendo lililo kuu,
Pendo lisilo mwisho,
Lidumulo milele,
Lililonitafuta Ingawa sikumpenda.
3Ingawa ni mbaya,
Kristo ni vyote kwangu;
Ajua haja zangu;
Huzuni zangu, zake;
Hata katika vita,
Akiwapo Salama.