Skip to content

Nyimbo za Kristo 120

Msalaba Wa Yesu

Studio

1Msalaba wa Yesu,
Nikae karibu;
Pale pana chemchemi Yakuponya dhambi.

RefrainPale msalaba Msalaba wake,
Huo ni sifa yangu Kwa maisha yote.

2Karibu msalaba Nalitetemeka,
Pendo likaniona Likanirehemu.

3Unikumbushe,
Yesu.
Nikuone pale:
Niupate upendo Na kuvutwa nao.

4Karibu msalaba,
Kwa kutegemea,
Kukesha na kungoja,
Nitakaa pale.

Msalaba Wa Yesu – Nyimbo za Kristo 120 lyrics | Advent Hymnals