Skip to content

Nyimbo za Kristo 123

Yesu Kwa Imani

Studio

1Yesu kwa imani, nakutumaini, peke yako;
Nishike sasa na kunitakasa, ni wako kabisa Tangu leo.

2Nipe nguvu pia za kusaidia moyo wangu;
Ulikufa wewe, wokovu nipewe, nakupenda wewe,
Bwana wangu.

3Hapa nazunguka katika mashaka, na matata;
Palipo na giza utaniongoza, hivi nitaweza,
Kufuata.

Yesu Kwa Imani – Nyimbo za Kristo 123 lyrics | Advent Hymnals