Nyimbo za Kristo 126
Nina Haja Nawe
1Nina haja nawe kila saa;
Hawezi mwingine kunifaa.
RefrainYesu nakuhitaji vivyo kila saa!
Niwezeshe mwokozi, nakujia.
2Nina haja nawe;
Kaa name,
Na maonjo haya, hayaumi.
3Nina haja nawe; kila hali,
Maisha ni bure, uli mbali.
4Nina haja nawe;
Nifundishe,
Na ahadi zako, zifikishe.
5Nina haja nawe;
Mweza yote,
Ni wako kabisa, siku zote.