Nyimbo za Kristo 125
Uniangalie
Look and Live / Life in a Look
Tune: Christ in Song 65
1Uniangalie atwambia, Yesu aliyetufia;
Msalabani ni uzima,
Hapa utaipata hazina.
RefrainKutazama Kalwari,
Kutazama Kalwari,
Ni kupewa kuishi
Kuutazama mti wa‿Kalwari.
2Ninapojaribiwa ghafula, Shetani hatanitega;
Nikitazama msalaba,
Nguvu nitaipata kwa Bwana.
3Msalaba nitautazama Kila wakati daima,
Ahadi nitategemea,
Hivi kabisa sitaanguka