Skip to content

Nyimbo za Kristo 136

Niwe Kama Yesu

Studio

1Unifundishe,
Baba;
Ile njia ya sala;
Uniendeshe sana,
Niwe kama Yesu.

RefrainNiwe kama Yesu,
Niwe kama Yesu,
Uniongoze,
Baba;
Niwe kama Yesu.

2Unipe pendo,
Baba,
Watu kuwaokoa;
Nyumbani na mjini,
Niwe kama Yesu.

3Na unifahamishe,
Wakati ndio mfupi;
Unibidishe,
Bwana,
Niwe kama Yesu.