Nyimbo za Kristo 138
Nitakuandama Kote
1Nitakuandama kote, nitakapoagizwa Wewe ukiniongoza nami nitaandama.
RefrainNitakuandama kote, naam, ulinifia;
Kwa neema yako Bwana napenda kuandama.
2Njia ijapoparuza kwa miiba na fujo,
Ulitangulia mbele nami nitaandama.
3Nijapokuta taabu na majaribu kote,
Nakumbuka shida yako, nami nitaandama.
4Nijapoona ukiwa na mateso makali,
Wewe uliyatikiza nami nitaandama.
5Ijapo wanipeleka vilindini mwa giza,
Wewe uliyetikiza nami nitaandama.