Nyimbo za Kristo 149
Kuwa Wake Yesu
Tune: Christ in Song 58
1Kuwa wake Yesu,
Je!
Ni kusudi lako?
Ungeenda naye njia nyembamba?
Unataka aubebe mzigo wako?
Awe Mwongozi wako.
RefrainUwezo wake unakutosha
Na damu yake itakusafi;
Kwa vile ukubali ni bora
Afanye mapenzi yake nawe.
2Unataka kuitika‿anapokwita?
Kupata amani kwa kumpa vyote?
Wataka uwezo usianguke kamwe?
Awe Mwongozi wako.
3Wataka raha katika ufalme wake?
Ungeshinda kwa majaribu yote?
Ungefanya kazi yake vizuri sana?
Awe Mwongozi wako.