Nyimbo za Kristo 150
Hacha, Maneno Mabaya
1Hacha, maneno mabaya Yasitoke kinywani;
Moyo mwema uzuie Ndimi, zisichafuke.
RefrainNanyi pendeni,
Asema Yesu,
Kama mwanzo alivyotupenda:
Nanyi pendeni,
Asema Yesu,
Wana, tiini amri hii.
2Pendo ni mtakatifu;
Urafiki mzuri:
Visiharibike mara Kwa kunena vibaya.
3Tusinene kwa hasira,
Inazaa huzuni.
Pendo lako,
Ee Mwokozi,
Inatosha tushinde.