Nyimbo za Kristo 161
Piga Panda
1Piga panda na ya makelele;
Yesu yuaja tena!
Ipaze sauti, imba sana;
Yesu yuaja tena!
RefrainAnakuja, anakuja;
Yesu yuaja tena!
2Itoe mwangwi sana vilima;
Yesu yuaja tena!
Yuaja kwa utukufu mwingi,
Yesu yuaja tena!
3Itangaze mahali po pote,
Yesu yuaja tena!
Mwokozi aliyetufilia,
Yesu yuaja tena!
4Kuona machafuko twajua Yesu yuaja tena!
Mataifa yakasiriana,
Yesu yuaja tena!
5Maradhi, hofu hutuhubiri Yesu yuaja tena!
Taabu, njaa hutulilia Yesu yuaja tena!