Skip to content

Nyimbo za Kristo 159

Anakuja Upesi

Studio

1Anakuja upesi,
Yesu Bwana wetu,
Msafiri mbali na kwao;
Alisema dhahiri,
Nitakuja tena;
Amina; na uje,
E Bwana.

RefrainYuaja,
Yesu atarudi sasa;
Anakuja duniani.
Wasafiri wote watapumzika,
Yesu anaporudi tena.

2Makaburi yote wafu wanapolala,
Yatafunguliwa tena;
Na mamilioni pale wataondoka tena,
Wasione machozi kamwe.

3Hatutatengana na hao tena huko;
Nyimbo nzuri tutaimba.
Watakusanyika 'toka kila kabila,
Miguuni pa MwanaKondoo.

4Aleluya Amin!
Aleluya tena!
Upendo wake unashinda!
Tutamsifu milele, hata tutashangaa,
Jinsi alivyotukomboa.