Nyimbo za Kristo 162
Tumaini Liko
Tune: Church Hymnal 379
1Tumaini liko La thamani kuu,
Kupita anasa tupu zake ulimwengu.
2Pana nyota nzuri:
Nuru itoayo,
Kwetu wakati wa kifo
Ndio ufufuo.
3Zikiumwa roho Na hofu, mashaka,
Sauti hutuambia Mungu hutupenda.
4Kutoka Kalwari Sauti hunena;
Nyota ni nuru ya mbingu,
Tumaini letu.