Nyimbo za Kristo 18
Mwokozi, Kama Mchunga
1Mwokozi, kama mchunga Utuongoze leo;
Ututume malishoni;
Fanya tayari boma.
RefrainBwana Yesu, peke yako Umetuvuta kwako.
Bwana Yesu, peke yako Umetuvuta kwako.
2Tu wako, uwe rafiki,
Uwe mlinzi wetu;
Kundi lako ulilinde,
Tusivutwe na dhambi;
3Umetuahidi kwamba Utakubali watu,
Utawahurumia na Utawapa neema;