Nyimbo za Kristo 188
Wimbi Litakasalo
1Wimbi la damu ya Yesu Linatutakasa;
Aliumia kusudi Tupate uzima.
RefrainWimbi la damu naona,
Naingia, natakaswa!
Bwana asifiwe sana,
Hutakasa, hutakasa.
2Damu inasema kwangu,
Nasikia mvuto;
Inasema, moyo wangu Hutakaswa nayo.
3Naondoka kutembea Kwa nuru ya mbingu;
Mavazi yamesafishwa;
Moyoni ni Yesu.
4Neema ni ya ajabu,
Kutakaswa ndani!
Na kuwa naye Yesu tu,
Aliye Mwokozi.