Skip to content

Nyimbo za Kristo 189

Tubatize Upya

Studio

1Mimina upya nguvu toka juu;
Tupe pendo lako, ewe Mwokozi.

RefrainTwakusihi sana Yesu Mwokozi,
Tubatize upya, kwa Roho leo.

2Kwako twalia, wenye maovu,
Osha moyo wetu, ututakase.

3Kipaji cha juu, kitume kwetu,
Tubariki sasa, utufariji.

4Isikilize, kwa moyo wazi,
Sauti ya Roho; ubarikiwe.