Nyimbo za Kristo 197
Anipenda Ni Kweli
1Anipenda ni kweli:
Mungu anena hili;
Sisi wake watoto kutulinda si zito.
RefrainYesu Mwokozi ananipenda;
Kweli hupenda,
Mungu amesema.
2Kwa kupenda akafa niokoke na kufa:
Atazisafi taka sana ataniweka.
3Anipenda kabisa; niuguapo sasa,
Anitunza mbinguni niliyelala chini.
4Kunipenda haachi tu sote hapa chini,
Baada ya mashaka kwake tanipeleka.