Nyimbo za Kristo 196
Vito Vya Thamani
1Kitambo Bwana yuaja, atafute kote Vito vya thamani kubwa: mali yake kuu.
RefrainKama nyota tajini vitangaa sana,
Vito vizuri kweli vyenye thamani.
2Karibu atakusanya vito kwa ufalme,
Vizuri vinavyongaa: mali yake kuu.
3Watoto wote wadogo wampendao Yesu,
Ndiyo vito vingavyo: mali yake kuu.