Nyimbo za Kristo 198
Kaza Sana Macho
Tune: Christ in Song 569
1Nilinawa mikono safi‿asubuhi‿Itende kazi kutwa kwa Yesu, Yesu Mwokozi.
RefrainKaza sana macho njiani kote,
Utende kwa Yesu kazi njema tu.
2Natega masikio nitambue wasaa,
Mikono na‿itende upole daima.
3Macho yangu yachunga mikono kazini;
Ilindwe maovuni‿impendeze Yesu.