Nyimbo za Kristo 200
Baba Yetu Aliye Mbinguni
Jesus Loves Even Me
Tune: Church Hymnal 423
1Baba yetu‿aliye mbinguni,
Amenifurahisha yakini.
Kuniaambia mwake Chuoni,
Ya kuwa nami Yesu pendoni.
RefrainAnipenda Mwokozi Yesu,
Anipenda,
Anipenda;
Anipenda Mwokozi Yesu,
Anipenda mimi.
2Nimuachapo kutanga mbali,
Yeye yu vivyo, hupenda kweli:
Hunirejeza kwake moyoni,
Kweli yu name Yesu pendoni.
3Anipenda!
Nami ninampenda,
Kwa wokovu‿alionitenda‿Alinifilia msalabani,
Kwa kuwa nami Yesu pendoni.