Skip to content

Nyimbo za Kristo 201

Hunipenda Pia

Tune: Christ in Song 252

1Mungu huona videge wanaoanguka;
Akiwapenda videge, vile hunipenda.

RefrainHunipenda, hunipenda, hunipenda pia;
Najua ananipenda niliye mdogo.

2Rangi ya namna nzuri hupamba maua;
Akiyapenda maua, vile hunipenda.

3Mungu aliyeviumba videge, maua,
Hatasahau watoto, kweli huwapenda.