Nyimbo za Kristo 29
Yesu, Nakupenda
1Yesu nakupenda, u mali yangu,
Anasa za dhambi sitaki kwangu:
Na mwokozi aliyeniokoa
RefrainSasa nakupenda, kuzidi pia.
2Moyo umejaa mapenzi tele Kwa vile ulivyonipenda mbele,
Uhai wako ukanitolea
3Ulipoangikwa msalabani Tusamehewe tulio dhambini;
Taji ya miiba uliyoivaa,
4Mawanda mazuri na masikani Niyatazamapo huko mbinguni,
Tasema na taji nitakayovaa,