Nyimbo za Kristo 26
Tupe Amani
1Mungu mtukufu Aliyeumba Pepo kuvuma Na radi kali;
Toa neema unapotawala,
Tupe amani,
Bwana wa wema.
2Mungu wa neema,
Nchi imeacha Amri tukufu Na Neno Lako;
Hasira zako Zitaharibu,
Tupe amani,
Bwana wa wema.
3Mwumbaji wa haki,
Watu wabaya Wamedharau Utukufu Wako;
Lakini wema wako utadumu;
Endesha wema Bwana wa wema.
4Tunakutolea Ibada safi Kwa ajili ya Wokovu wako;
Hivi tunaziimba sifa zako;
Wako uwezo na utukufu.