Skip to content

Nyimbo za Kristo 32

Tangu Kuamini

Since I Have Been Redeemed

Tune: Church Hymnal 638

1Ninao wimbo mzuri,
Tangu kuamini;
Wa mkombozi, Mfalme,
Tangu kuamini.

RefrainTangu kuamini,
Jina lake 'tasifu,
Tangu kuamini,
Nitalisifu Jina lake.

2Kristo anitosha kweli,
Tangu kuamini,
Mapenzi yake napenda,
Tangu kuamini.

3Ninalo shuhuda sawa,
Tangu kuamini,
Linalofukuza shaka,
Tangu kuamini.

4Ninalo kao tayari,
Tangu kuamini,
Nililorithi kwa Yesu,
Tangu kuamini.