Skip to content

Nyimbo za Kristo 34

Nipe Habari za Yesu

Studio

1Nipe habari za Yesu,
Kwangu ni tamu sana;
Kisa chake cha dhamani Hunipendeza sasa.
Jinsi malaika wengi walivyoimba sifa,
Alipoleta amani kwa watu wa dunia.

RefrainNipe habari za Yesu,
Kaza moyoni mwangu;
Kisa chake cha dhamani Hunipendeza sasa.

2Kisa cha alivyofunga Peke yake jangwani.
Jinsi alivyolishinda jaribu la shetani;
Kazi aliyoifanya,
Na siku za huzuni,
Jinsi walivyotesa:
Yote ni yaajabu!

3Habari za msalaba Aliposulubishwa:
Jinsi walivyomzika Akashinda kaburi.
Kisa chake cha rehema,
Upendo wake kwangu,
Aliye toa maisha Nipokee wokovu.