Skip to content

Nyimbo za Kristo 35

Nimekombolewa Na Yesu

Studio

1Nimekombolewa na Yesu na sasa nimefurahi;
Kwa bei ya mauti yake mimi ni mtoto wake.

RefrainKombolewa!
Nakombolewa na damu;
Kombolewa! mimi mwana wake kweli.

2Kukombolewa nafurahi, kupita lugha kutamka;
Kulionyesha pendo lake, mimi ni mtoto wake.

3Nitamwona Mfalme wangu, katika uzuri wake;
Ambaye najifurahisha katika torati yake.

4Najua taji imewekwa mbinguni tayari kwangu;
Muda kitambo atakuja, ili alipo, niwepo.