Skip to content

Nyimbo za Kristo 39

Ati, Kuna Mvua Njema

Even Me

Tune: Church Hymnal 208

1Ati, kuna mvua njema yanya yenye neema;
Watu wanaona vyema Bwana, huninyeshei?

RefrainNa mimi?
Na mimi?
Bwana, huninyeshei?

2Sinipite,
Baba mwema; dhambini nimezama:
Rehema ni za daima;
Bwana hunionyeshi?

3Sinipite,
Yesu mwema; niwe nawe daima,
Natamani kukwandama:
Bwana, hunichukui?

4Sinipite, Roho mwema,
Mpaji wa uzima,
Nawe shahidi wa wema,
Bwana wema hunipi?