Skip to content

Nyimbo za Kristo 45

Mwanga Umo Moyoni

Studio

1Mlimani pana mwanga,
Mwanga wa jua zuri Shambani na baharini Jua tukufu liko;
Mwanga uliyo mkubwa Umo moyoni mwangu,
Kwa kuwa Yesu alipo Hapa pana mwangaza.

RefrainMwangaza ulio mzuri,
Mwanga umo moyoni;
Akiwapo Bwana Yesu Pana mwanga moyoni.

2Kama mavazi kikuu,
Ninavua huzuni:
Nguo nzuri za kuvaa,
Umenipa za kuvaa.
Nakuandama rohoni Hata nyumba ya juu Iliyopambwa vizuri Katika pendo lako.

3Ulinikomboa Yesu;
Maisha yangu, mali,
Vyote ni vyako,
Mwokozi Daima nikusifu.
Nakuandama rohoni Hata nyumba ya juu Iliyopambwa vizuri Katika pendo lako.