Skip to content

Nyimbo za Kristo 80

Tupe Moto Wa Injili

Studio

1Tupe moto wa uhai Uliowaka zamani,
Uliowaongoza juu Wazee watakatifu.

2Wapi roho iliyokaa Moyoni mwa Ibrahimu?
Kadhalika ndugu Paulo Aliwezeshwa na moto.

3Neema yako haina Nguvu siku hizi sawa Kama wakati wa Musa,
Ayubu na wa Eliya?

4Zamani za kale,
Bwana,
Kumbuka na kwa rehema,
Zihuishe roho zetu Kwa Roho Mtakatifu.

Tupe Moto Wa Injili – Nyimbo za Kristo 80 lyrics | Advent Hymnals