Skip to content

Nyimbo za Kristo 70

Wapenzi Wa Bwana

Studio

1Wapenzi wa Bwana ije raha yenu!
Imbeni nyimbo za raha,
Imbeni nyimbo za raha;
Za ibada yenu, za ibada yenu.

RefrainTwenenda Zayuni, mji mzuri Zayuni!
Twenenda juu Zayuni,
Ni maskani ya Mungu.

2Wasiimbe wao wasioamini,
Watoto wa Mungu ndio,
Watoto wa Mungu ndio,
Waimbao chini, waimbao chini.

3Twaona rohoni baraka za Mungu,
Tusijafika mbinguni,
Tusijafika mbinguni,
Kwenye utukufu, kwenye utukufu.

4Tutakapomwona masumbuko basi,
Huwa maji ya uzima,
Huwa maji ya uzima,
Anasa halisi, anasa halisi.

Wapenzi Wa Bwana – Nyimbo za Kristo 70 lyrics | Advent Hymnals