Skip to content

Nyimbo za Kristo 81

Siku Sita Zimepita

Studio

1Siku sita zimepita,
Sabato tena karudi;
Shangilie roho yangu, itukuze kwa busara.

2Msifuni awapaye pumziko tamu wachovu,
Kwake roho yatulizwa, kupita siku nyingine.

3Moyo wetu ufurahi, na kutoa mashukuru;
Ujalizwe raha ile, yasipitikwa kamwe.

4Raha hiyo ya rohoni, ni amana ya pumziko Ambalo limewekwa juu, kikomo cha masumbuko.

Siku Sita Zimepita – Nyimbo za Kristo 81 lyrics | Advent Hymnals