Nyimbo za Kristo 96
Mali Yako Sasa
We Give Thee But Thine Own
1Mali yako sasa,
Bwana, tutatoa;
Hatuna yaliyo yetu,
Yote ni vipaji.
2Sisi watumishi,
Twaungama deni;
Tungeirudisha kwake,
Iliyo ya Bwana.
3Utusaidie,
Upendo kujua,
Kwa ajili yao wote Walio gizani.
4Neno tumaini Na tegemea:
Kwamba lote tufanyalo,
Tulifanye kwako.