Skip to content

Nyimbo za Kristo 95

Zileteni Zaka Kwa Hazina

Studio

1Sikieni neno la Mungu wetu, zileteni zaka kwa hazina Leteni na mioyo yenu yote; mibaraka itakuja.

RefrainZileteni zaka kwa hazina, kanijaribu sasa nazo;
Nitakupeni mibaraka, zaidi ya nafasi ya kupewa.

2Wakati Roho Mtakatifu kwako?
Uzilete zaka kwa hazina Ukae karibu na Bwana wako, ndipo utabarikiwa.

3Je, una kasoro na Bwana wako?
Uzilete zaka kwa hazina,
Uzilete kama alivyo sema,
Ndipo utabarikiwa.

4Ushukuru Bwana na moyo wote, unapo leta zaka ghalani;
Usadiki ahadi zake zote, ndipo utabarikiwa.

5Tuimbe sote nyimbo za furaha, tunapoleta zaka ghalani Twimbe kabisa na furaha kubwa, kwani tutabarikiwa.