Nyimbo za Kristo 98
Nilikupa Wewe
1Nilikupa wewe, damu ya moyoni,
Ili wokolewe, winuke ufuni.
Nimekunyima ni wewe?
Umenipa nini?
Nimekunyima ni wewe?
Umenipa nini?
2Nilikupa miaka yangu duniani;
Upate inuka, kuishi mbinguni.
Nimekunyima ni wewe?
Umenipa nini?
Nimekunyima ni wewe?
Umenipa nini?
3Nimekwiletea, huku duniani;
Pendo na wokovu, zatoka mbinguni.
Nimekunyima ni wewe?
Umenipa nini?
Nimekunyima ni wewe?
Umenipa nini?
4Nipe siku zako, udumu mwangani;
Na taabu yako, wingie rahani.
Nafsi, nafsi, pendo, mali, twae Imanweli.
Nafsi, nafsi, pendo, mali, twae Imanweli.