Nyimbo za Kristo 113
Bubujiko
1Damu imebubujika,
Ni ya Imanweli,
Wakioga wenye taka,
Husafiwa kweli.
Husafiwa kweli.
Husafiwa kweli.
Wakioga wenye taka,
Husafiwa kweli.
2Ilimpa kushukuru Mwivi mautini;
Nami nisiye udhuru,
Yanisafi ndani.
Yanisafi ndani.
Yanisafi ndani.
Nami nisiye udhuru,
Yanisafi ndani.
3Kondoo wa kuuawa,
Damu ina nguvu,
Wako wote kuokoa Kwa utimilivu.
Kwa utimilivu.
Kwa utimilivu.
Wako wote kuokoa Kwa utimilivu.
4Bwana, tangu damu yako Kunisafi kale,
Nimeimba sifa zako,
Taimba milele.
Taimba milele.
Taimba milele.
Nimeimba sifa zako,
Taimba milele.
5Bwana, umenikirimu Nisiyestahili Kwa damu yako, sehemu Ya mali ya kweli.
Ya mali ya kweli.
Ya mali ya kweli.
Kwa damu yako, sehemu Ya mali ya kweli.
6Nikubali kukwimbia Mbinguni milele.
Mungu nitamsifia Jina lako pweke.
Jina lako pweke.
Jina lako pweke.
Mungu nitamsifia Jina lako pweke.